Mrithi wa sharo mkali wa wa swagga za kutosha afamikae kwa jina la jay maswagger aliyewahi
kupagawisha moro pande za chita akaonyesha swagger za kutosha na tuka hamini kwamba kweli
uyu ni mrithi wa sharo millionea kwa sababu vitu vilivyo fanyika hautuku hamini kama angeweza
kufanya vitu kama vile
Jumapili, 15 Desemba 2013
Jumamosi, 7 Desemba 2013
Alhamisi, 5 Desemba 2013
Jumatano, 20 Novemba 2013
Jumanne, 19 Novemba 2013
Jumatatu, 18 Novemba 2013
MSANII WA BENDI YA FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA
Msanii Aristote shungu wa bendi ya Fm academia, afariki dunia nchini china
Kwa madawa ya kulevya ,Badaa ya kupasukia tumboni (picha ya mwili wa marehemu chini)
Alikuwa yeye msanii wenzake, Canal top ambaye nayepia aliyake sio nzuri
Mwili wa marehemu bado uko nchini china kwa uchunguzi zaidi.

Jumamosi, 16 Novemba 2013
Jumamosi, 9 Novemba 2013
VIDEO: SHILOLE >NAKOMAA NA JIJI (BRAND NEW)
Shilole classic ameachia video yake mpya 'nakomaa na jiji chini ya director Nisher Icheki hapa.
Alhamisi, 7 Novemba 2013
Jumatano, 6 Novemba 2013
DIAMOND KUANGUKIA KWENYE MOVIE
Staa wa bongo fleva Nasibu Abdul 'Diamond platinum'
anatarajia kushoot movie yake, yeye akiwa kama actor
akishirikiana na msanii mwezake Wema Sepetu
katika movie hiyo ambayo itaanza kutengenezwa mapema mwaka huu
"wadau katika tasnia ya movie kaeni tayari kwa vitu vipya kwenye tasnia hiyo"
Alhamisi, 24 Oktoba 2013
Jumanne, 15 Oktoba 2013
Ijumaa, 20 Septemba 2013
WEMA SEPETU,PENNY NDANI YA BIFU ZITO
Kwa mujibu wa chanzo cha habari ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema amesema msanii huyo kwa sasa yupo katika wakati mgumu kwani mara nyingi amekuwa akiongelea uhusiano kati ya Diamond na Penny.Mpasha habari wetu alienda mbali baada ya kusema kwa sasa Wema anajipanga kurudiana na Diamond,imeelezwa.
Alhamisi, 19 Septemba 2013
WILLIAM MTITU ALALAMA KUHUSU WASAMBAZAJI
Mtayarishaji na muigizaji mkongwe nchini ambaye kwa sasa amegeukia katika
usambazaji wa filamu William J Mtitu amelalamika jinsi hali za umiliki wa filamu
za kitanzania kuwa hauna faida kwa wamiliki wa filamu nchini......William Mtitu
ambaye kwa sasa ameanzisha kampuni ya usambazaji inayokwenda kwa jina la
5 Effects Movies Ltd,ameishutumu kampuni ya steps kuwa inanyonya hakimiliki
za watayarishaji na kuongeza kuwa mtayarishaji hana umiliki baada ya kufika
steps kwani anakuwa hafaidiki tena na kumalizia hata filamu alizoandaa yeye chini
ya steps entertainment hana haki nazo tena.

BACK 2 LIFE MTAANI
Msanii Sean Kingston akitangaza albam yake mpya inayokwenda kwa jina
BACK 2 LIFE katika kipindi cha 106 & PARK nchini Marekani kama
alivyoandika katika ukurasa wake wa facebookhttps://www.facebook.com/seankingston
BACK 2 LIFE katika kipindi cha 106 & PARK nchini Marekani kama
alivyoandika katika ukurasa wake wa facebookhttps://www.facebook.com/seankingston
DIAMOND PLATNAMZ............
Msanii Diamond akiwa nchini Malaysia akijiandaa kufanya show katika
ukumbi wa likwid club uliopo nchini humo........mia bro
ukumbi wa likwid club uliopo nchini humo........mia bro
Jumanne, 17 Septemba 2013
DOWNLOAD NAUSIKILIZE NYIMBO YA MSANII CHICHI CHADALA .........
![]() |
| DOWNLOAD NAUSIKILIZE NYIMBO YA CHICHI CHADALA FEAT JAY MASWAGA NGOMA INAITWA UNANITESAGA |
Jumatatu, 16 Septemba 2013
UCHAGUZI RWANDA LEO................,,,,
watu zaidi ya milioni sita wamejitokeza leo kupiga kura nchini Rwanda kwa mfumo wa vyama vingi .
Uchaguzi huu usio na upinzani mkubwa ni kama kupiga muhuri tu uongozi wa chama cha RPF chakeRais Paul Kagame ambacho kimekuwa uongozini tangu kumalizika kwa mauaji ya Kimbari mwaka 1994.
kwa habari zaidi tembelea http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2013/09/130916_rwanda_uchaguzi

Jumapili, 15 Septemba 2013
IRENE UWOYA BAADA YA KUHUSISHWA KUIBA SIMU ANENA...............,,,,,
Baada ya kuandikwa kwenye gazeti moja nchini msanii wa filamu nchini Irene Uwoya.....akihusishwa kuiba simu aina ya Iphone 5 toleo jipya la mwaka huu.....amejibu shutuma hizo dhidi ya mmiliki wa gazeti hilo ambaye ni Erick Shigongo kama alivyoandika kwenye ukurasa wake wa instagram........nanukuu"mimi ni mti wenye matunda milele siogopi kupigwa mawe...............Shigongo kaamua kunichafua coz mi nina kesi nae mahakamani,anadhani nitaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wa siku sheria itafuata mkondo wake,mi na yake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali............"alimalizia................................sisi kama leo blog tunawashauri wakae chini wayamalize kama watu wazima.
Jumamosi, 14 Septemba 2013
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)