Jumatano, 20 Novemba 2013

VIDEO: MZIGO MPYA WA KALA JEREMIAH FT NEY LEEE -- WALE WALE ICHEKI HAPA


                       Msanii wa Hip hop nchi Kala jeremiah  ameachi video ya mpya "wale wale"
                       icheki hapo chini
                      

Jumanne, 19 Novemba 2013

PICHA: "UWOYA NAYE AJICHORA TATOO KIUNO"

                       
           

Jumatatu, 18 Novemba 2013

MSANII WA BENDI YA FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA

                     Msanii Aristote shungu wa bendi ya Fm academia, afariki dunia nchini china 
                Kwa madawa ya kulevya ,Badaa ya kupasukia tumboni (picha ya mwili wa marehemu chini)
                          Alikuwa yeye msanii wenzake, Canal top ambaye nayepia aliyake sio nzuri
                          Mwili wa marehemu bado uko nchini china kwa uchunguzi zaidi.

Jumamosi, 9 Novemba 2013

VIDEO: SHILOLE >NAKOMAA NA JIJI (BRAND NEW)

                Shilole classic ameachia video yake mpya 'nakomaa na jiji chini ya director Nisher                                          Icheki hapa.
             
            
                                           

Alhamisi, 7 Novemba 2013

Jumatano, 6 Novemba 2013

DIAMOND KUANGUKIA KWENYE MOVIE

                 
                      Staa wa bongo fleva Nasibu Abdul 'Diamond platinum'
                    anatarajia kushoot movie yake, yeye akiwa kama actor 
                    akishirikiana na msanii mwezake Wema Sepetu
                    katika movie hiyo ambayo itaanza kutengenezwa mapema mwaka huu
                  "wadau katika tasnia ya movie kaeni tayari kwa vitu vipya kwenye tasnia hiyo"