Mtayarishaji na muigizaji mkongwe nchini ambaye kwa sasa amegeukia katika
usambazaji wa filamu William J Mtitu amelalamika jinsi hali za umiliki wa filamu
za kitanzania kuwa hauna faida kwa wamiliki wa filamu nchini......William Mtitu
ambaye kwa sasa ameanzisha kampuni ya usambazaji inayokwenda kwa jina la
5 Effects Movies Ltd,ameishutumu kampuni ya steps kuwa inanyonya hakimiliki
za watayarishaji na kuongeza kuwa mtayarishaji hana umiliki baada ya kufika
steps kwani anakuwa hafaidiki tena na kumalizia hata filamu alizoandaa yeye chini
ya steps entertainment hana haki nazo tena.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni