Kwa mujibu wa chanzo cha habari ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema amesema msanii huyo kwa sasa yupo katika wakati mgumu kwani mara nyingi amekuwa akiongelea uhusiano kati ya Diamond na Penny.Mpasha habari wetu alienda mbali baada ya kusema kwa sasa Wema anajipanga kurudiana na Diamond,imeelezwa.

