Jumatatu, 18 Novemba 2013

MSANII WA BENDI YA FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA

                     Msanii Aristote shungu wa bendi ya Fm academia, afariki dunia nchini china 
                Kwa madawa ya kulevya ,Badaa ya kupasukia tumboni (picha ya mwili wa marehemu chini)
                          Alikuwa yeye msanii wenzake, Canal top ambaye nayepia aliyake sio nzuri
                          Mwili wa marehemu bado uko nchini china kwa uchunguzi zaidi.

Hakuna maoni: