Jumatano, 6 Novemba 2013

DIAMOND KUANGUKIA KWENYE MOVIE

                 
                      Staa wa bongo fleva Nasibu Abdul 'Diamond platinum'
                    anatarajia kushoot movie yake, yeye akiwa kama actor 
                    akishirikiana na msanii mwezake Wema Sepetu
                    katika movie hiyo ambayo itaanza kutengenezwa mapema mwaka huu
                  "wadau katika tasnia ya movie kaeni tayari kwa vitu vipya kwenye tasnia hiyo"