Jumapili, 15 Septemba 2013
IRENE UWOYA BAADA YA KUHUSISHWA KUIBA SIMU ANENA...............,,,,,
Baada ya kuandikwa kwenye gazeti moja nchini msanii wa filamu nchini Irene Uwoya.....akihusishwa kuiba simu aina ya Iphone 5 toleo jipya la mwaka huu.....amejibu shutuma hizo dhidi ya mmiliki wa gazeti hilo ambaye ni Erick Shigongo kama alivyoandika kwenye ukurasa wake wa instagram........nanukuu"mimi ni mti wenye matunda milele siogopi kupigwa mawe...............Shigongo kaamua kunichafua coz mi nina kesi nae mahakamani,anadhani nitaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wa siku sheria itafuata mkondo wake,mi na yake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali............"alimalizia................................sisi kama leo blog tunawashauri wakae chini wayamalize kama watu wazima.
