Ijumaa, 20 Septemba 2013

WEMA SEPETU,PENNY NDANI YA BIFU ZITO


  Diva wa bongo movie Wema Sepetu inasemekana yupo kwenye bifu zito na rafiki ambaye amemchukulia mwanaume Penny na kufika mbali kuwa anajipanga kulipiza kisasi kwa kitendo hicho.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari ambaye ni rafiki wa karibu wa Wema amesema msanii huyo kwa sasa yupo katika wakati mgumu kwani mara nyingi amekuwa akiongelea uhusiano kati ya Diamond na Penny.Mpasha habari wetu alienda mbali baada ya kusema kwa sasa Wema anajipanga kurudiana na Diamond,imeelezwa.

Hakuna maoni: