Jumatatu, 16 Septemba 2013
UCHAGUZI RWANDA LEO................,,,,
watu zaidi ya milioni sita wamejitokeza leo kupiga kura nchini Rwanda kwa mfumo wa vyama vingi .
Uchaguzi huu usio na upinzani mkubwa ni kama kupiga muhuri tu uongozi wa chama cha RPF chakeRais Paul Kagame ambacho kimekuwa uongozini tangu kumalizika kwa mauaji ya Kimbari mwaka 1994.
kwa habari zaidi tembelea http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2013/09/130916_rwanda_uchaguzi

Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)