watu zaidi ya milioni sita wamejitokeza leo kupiga kura nchini Rwanda kwa mfumo wa vyama vingi .
Uchaguzi huu usio na upinzani mkubwa ni kama
kupiga muhuri tu uongozi wa chama cha RPF chakeRais Paul Kagame ambacho
kimekuwa uongozini tangu kumalizika kwa mauaji ya Kimbari mwaka 1994.
kwa habari zaidi tembelea http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2013/09/130916_rwanda_uchaguzi

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni